karibu Amoleck group

Tunajali afya yako kwa jamii mpya & Teleza Kidijitali

Wauzaji na Wasambazi wa vifaa vya Afya kwa Bei nafuu, na dawa za binadamu kwa wamiliki wa vituo vya kuuzia madawa ya Afya na pia kusafirisha vifaa mpaka alipo mteja. kushughulika na masuala ya kiafya kwa kila mwenye uhitaji kwa namna zote za kukutana ana kwa ana au ki-eletroniki zaidi.

team meeting
person graphic
reporting

UBORA

Tunahakikisha unapata kilicho bora kwa wakati sahihi na kwa haraka zaidi.

UMAKINI

Katika suala zaima la afya kuhakikisha kila mteja anapata haki stahiki

KUJALI

Tunajali na tunasikiliza kile Mteja anakihitaji kwa kila hatua.

UPENDO

Mteja ataonyeshwa upendo wa hali ya juu ili kuleta imani kubwa.

TELEZA KIDIJITALI HUDUMA ZA KIAFYA & NA ELIMU YA AFYA KIUJUMLA

Katika huduma tuzitoazo tunazingatia utu na ufanisi mkubwa katika kuhakikisha kila mteja wetu anapata haki stahiki katika hilo tumjipanga timu nzima kuhakikisha wewe unapata kilicho bora zaidi

Usambazaji wa vifaa (AMES)

84%

Famasi Mkononi (APHAMKO)

88%

Physio clinic

88%

Home Visit & Physioteraphy

88%

Matunzo ya ngozi (ASCA)

94%

Phsiocoach (Health & Research)

90%

Eye Care

94%

Tizama wahudumu wetu wakitoa huduma & namna tulivyo jipanga kuhakikisha unapata kilicho bora zaidi

Tizama zaidi kilichojiri kwa matarajio yetu na habari zaidi

Workspace Desktop
  • 01 January 2024
  • ezradaniel
  • Branding

Huduma zaidi & Na wataalamu kutoka Amoleck Yaboreshwa

Katika kuhakikisha kila mmoja anapata kilicho bora zaidi Timu ya wataalamu ikishirikiana na Bodi kuu wameongeza maboresho zaidi katika kuhakikisha kuduma .............

kuwa huru kuwasiliana nasi kwa urahisi zaidi

Katika kuhakikisha kila Mteja anapata wakati sahihi wa kushiri katika mawazo mbali mbali karibu kujuisha nasi mazwazo yako leo.

Piga simu no: +255 626 371 854

© Copyright 2024 Amoleck Group. All Rights Reserved.
Designed by ICT-department of amoleck_group