Fetoscope: Pinard Stethoscope
Tzs 19,000.00
Fetoscope ni kifaa kinachotumika kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto kabla hajazaliwa. Kifaa hiki hutumika na watoa huduma za afya kufahamu hali ya mtoto akiwa tumboni.
Matumizi: Kifaa hiki ni muhimu kwa mafunzo kwa wanaosomea masomo ya udaktari, uuguzi na ukunga pamoja na watumishi wa afya ya jamii.
Aina: Kifaa hiki hupatikana katika hali ya mbao au plastiki. Vyote hufanya kazi sawa.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Please login to write review!
Looks like there are no reviews yet.